| 
MPINI UMESHIKIRIWA SAWA SAWA!!  | 
Mapapaa wakigombania CD za album mpya ya wazee wa Ngwasuma zilizouzwa kwa dau kati ya 30,000 hadi 100,000 za papo kwa papo
Wadau mbalimbali wakiendelea kufuatilia shughuli hiyo ambapo kunywa , kula na kucheza ilikuwa bureee kabisa
|  | 
| Papaa Rwehumbiza akingwasumika | 
Kundi likiwasha moto ndani ya uwanji hill Motel....
Picha zaidi zinakujia, uploading..................
 




