Mar 3, 2013

FASTJET WAMPA MAISHA KIJANA WA KITANZANIA , RUBANI WA KIMASAI

Photo
Kutana na Mtanzania wa kimasai wa kwanza kabisa kuthibitishwa kuwa na kibali na uwezo wa kurusha ndege aina ya Airbus A319 baada ya kupata mafunzo yaliyotolewa na fastjet, na ndo mwajiriwa mpya kwenye kundi la wafanyakazi wa fastjet, Mr Wiliam Zelothe Stephen!

William amekuwa Rubani kwa miaka 6 sasa, na hivi karibuni amekamilisha mafunzo yake ya miezi miwili Uingereza, kuufuzu kuwa rubani wa fastjet. Anafafanua, kurusha A319 ni kama kuwa ndani ya jumba zuri la kifahari. William ni alikulia Olosipe, karibu na Arusha, ana umri wa miaka 28. William ni kati ya juhudi za fastjet za kuajiri wafanyakazi bora waliopata mafunzo nchini,sehemu ya wajibu wetu wa kijamii katika mipango ya uwekezaji Tanzania.
Soma zaidi kuhusu William kwenye blog yetu ya:www.fastjet.com/tz/blog/meet-William-zelothe-stephen-fastjet-pilot- Dar es Salaam.


Meet the first Tanzanian Maasai ever to be certified to fly an Airbus A319, and the latest recruit to the fastjet crew, Mr William Zelothe Stephen!

William has been a pilot for over 6 years, and recently completed two months training in the UK to become a fastjet pilot. He describes flying the A319 as like being in a ‘state of the art house’. Originally from Olosipe, near Arusha, 28 year old William is part of fastjet’s efforts to hire the best, locally trained staff, part of our wider social responsibility plans to invest in Tanzania.
Read more about William on our blog: www.fastjet.com/tz/blog/meet-william-zelothe-stephen-fastjet-pilot
 — in Dar es Salaam, Tanzania.
Like ·  ·  ·  · Sponsored
INDABA AFRICA BLOG INASEMA "HONGERA KAMANDA MSTAAFU STEVEN ZELOTHE KWA KUSOMESHA KIJANA NA KUWA MWAKILISHI WETU MZURI