INDABA AFRICA

Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!

Jun 30, 2012

TATHMINI YA UWEZO WA KUSOMA, KUHESABU NA KINGEREZA ILEJE YAPOKEWA VYEMA

›
Mkuu wa wilaya ya Ileje Rosemary Senyamule Staki akizungumza ofisini kwake baada ya Mratibu wa Program ya Uwezo wilayani humo Danny Tweve ...

MAISHA NI POPOTE

›
Hapa ni kijiji cha Wami Dakawa siku nilipopiga kambi huko kwaajili ya utafiti

WAPI FRED MBUNA? BONANZA LA VETERAN LAKUMBUKWA MBOZI

›
Kumbu kumbu kutoka blog hii siku Fred Mbuna alipoongoza kikosi cha maangamizi ya Makambako Veterani katika michezo ya bonanza iliyofanyka ...
Jun 29, 2012

KIOTA KIPYA CHAFUNGULIWA WILAYANI MBOZI- NI MKOLA HOTEL

›
KIOTA kipya cha Mkola Hotel iliyopo katika Mji wa Vwawa wilayani Mbozi kama inavyoonekana Karibu Mkola Hotel iliyopo eneo la Mwenge w...

VIJANA WANGU WANAPOKUWA NA FURAHA

›
Huwa tunatambaa hivi!!! ndivyo kaka mtu anavyomfundisha mdogo wake Christian na dada yake Christabel mwendo wa Ng'ombe stail...
May 1, 2012

ATI SERIKALI INA UBIA NA WALA RUSHWA

›
Risala ya vyama vya wafanyakazi mkoani DODOMA imeituhumu serikali kuwa ina ubia na wala rushwa na ndiyo sababu imekuwa ikifumbia macho kushu...

MEI MOSI DODOMA YAANZA VYEMA MAANDAMANO YAMALIZIKA

›
Wafanyakazi wakiendelea na maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Mjini DODOMA mchana huu Taasisi na Idara mbalmbali zikiandamaana  ka...

MEI MOSI DODOMA KUMEKUCHA ASUBUHI

›
    Ndivyo sanamu ya mwalimu Nyerere ikionyesha kulinyoshea mkono jengo la chamacha Mapinduzi katika mji wa DODOMA ambapo asubuhi wafanyak...
Apr 27, 2012

CHAMA CHA MAPINDUZI CHATEUA MAKATIBU KUKAIMU MIKOA MIPYA

›
Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012 chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dar es salaam, pamoja na mambo...
Apr 26, 2012

›
Mdau Robert Siwingwa akiwa katika pozi, ni sehemu ya mapumziko wakati wa  Utafiti wa hali ya Kipato kwa wananchi wa Bonde la Wami Dakawa a...
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.