Adverts

Apr 20, 2009

AA BUNGE KAMA UPELE UMEPATA MKUNAJI

Kazi yako mh spika tunaiona, unajua kutumia madaraka yako vyema, unawaminya wanaotaka kujifanya wamekabidhiwa nchi kwa matumizi yao!! ninafurahishwa na namna unavyotumia vifungu pale ambapo watu wanataka kuharibu afya ya mijadala ya bunge> Tupo pamoja mzeee