Adverts

Apr 30, 2009

ALBINO ANAPOKARIPIWA NA POLISI

Mlemavu wan Ngozi Bi Judith Silwimba anaonekana akinyoshewa kidole na Mkuu wa kituo cha polisi cha Tunduma kilichopo mpakani mwa Tanzania na Zambia afande ALLY kwa kile kinachodaiwa kuwa mwanamke huyo alikuwa ametoa taarifa za kuwindwa na baadhi ya watu kwa lengo la kumtenda; Bi mkubwa huyu analalamikia kitendo cha kupuuza taarifa alizotoa Polisi na kuwataja watu waliomtishia kuwa ni dili!!!!! nadhani afande Ally atalifanyia kazi jambo hilo manake hawa watu wanaweza kukuweka pabaya kama unapuuza.