Adverts

Apr 8, 2009

ART YA PHOTOGRAPH

Ni art ya kupiga picha! niliupenda huo mti jamii ya mndizi, sasa nikaona itakuwa vipi nikitegesha kwenye angle ya paa hilo jekundu itakuja? nikaona vyema inaweza kupendeza je waionaje picha hii