Adverts

Apr 8, 2009

BUJAGA IZENGO KADAGO MAJINA YA KIBANTU

Namkumbuka sana Mtangazaji huyu Bujaga Izengo Kadago! siku hizi anajiita baba askofu. ni miongoni mwa watangazaji waliovuma miaka ya nyuma kwenye vyombo vya habari vya TZ alianzia Radio Tanzania, akaenda Radio One, akaenda SUA televisheni hongera kaka sasa hivi anamalizia masterz lake St AUGUSTINE UNIVERSITY ni kifaa muhimu kwenye shughuli za media. HAYA NI MAJINA YA KIBANTU -MWAMISHA MOLA DUHUU

Pichani anakuwa kama anataka kujichinja shingo au?