Adverts

Apr 8, 2009

UKIWA NA NJAA HUCHEZI NGOMA HII

Moja ya ngoma zinazohamasisha vijana kuwa wakakamavu na wenye mbinu za kupambana ambayo huchezwa hasa kwenye maeneo yenye migomba migomba kutukuju!!! hii ni ngoma ambayo inatambulisha jamii fulani, yaani usipojua kucheza ngoma hiyo kwenye makuzi yako ya kuelekea ujana, unapofika mahala fulani ukashindwa kujumuika kucheza basi unatambulika kama Njanga!!!! sasa sijui huko kwenu mnacheza ngoma gani, au ndiyo mambo ya akina 50 cents sijui 70% au senti kumi?