Adverts

Apr 20, 2009

WANANDOA MNAENDA GUEST KUFANYANI????

wanandoa mnaenda GUESTHOUSE kufanya nini??? wanandoa na wasio wanandoa ;kuna kitu kidogo kinanichanganya iweje unaishi dar esalaama then mida ya mchana mnaenda kwenye guest mnaulizwa cheti cha ndoa mnaonyesha y????kwa nini msiende majumbani kwenu......ama kuna starehe tofauti wanandugu nihabalisheni ntashukuru na mimi niikingia hukonijue sehemu ya kuanziaweekend njema jamani