Adverts

Apr 7, 2009

YOU MARRRIED WOMEN DONT BRAME

Poleni sana madereva,manake wake zenu wanawatuhumu kuwa mnachelewa safari zenu kwa kuwa mnakuwa na vimwana, lakini hali ya msongamano kama huu mpakani Tunduma mara nyingine inawasababishia lawama kwenye ndoa. Napendekeza siku mchukue mama mwambie twende zao kongo atakoma mwenyewe akifika border mnachukua wiki tatu kusubiria msongamano upungue, siku nyingine hatakulaumu tena!!!!!!!najutaaaa kuwa dereva !