Adverts

Aug 30, 2011

MAAJABU YA UUMBAJI WA MWENYEZI-SHINA MOJA LAKINI MATAWI YA MITI TOFAUTI MITATU

Shina la Mti uliopo katika shule ya sekondari ya Myovizi wilayani Mbozi ambalo chini limeungana na kuwa shina moja lakini matawi yake juu yamegawanyika katika miti mitatu ya aina tofauti, kuna mkuyu, na aina nyingine mbili za miti ambayo kwa kiswahili siijui labda uniulize kikwetu!!!!

Matawi yanavyoonekana juu yakiwa mchanganyiko wa miti aina tatu

Matawi ya aina tatu yakionekana kwa uzuri zaifi