Adverts

Feb 2, 2013

WALIMU KUNA PENGO KUBWA LA ELIMU JUU YA UKIMWI NA GBV

 JANA NA LEO NILIKUWA NA VIPINDI VYA ELIMU YA UINGIZAJI MASUALA YA UKIMWI NA UKATIRI WA KIJINSIA NA MWELEKEO KATIKAMFUMO WA UTOAJI ELIMU KWENYE SHULE ZA MSINGI AMBAPO IMEDHIHIRIKA KUWA WALIMU WAMETELEKEZWA KWENYE ELIMU YA UKIMWI, YAANI YALE MAMBO MADOGO MADOGO AMBAYO WATU WANADHANI WANAELEWA HAWAYAFAHAMU, NAWENYEWE WAMEKIRI KUWA HALI HIYO NDIYO INAYOCHANGIA VIFO VINGI VYA WALIMU KWA UKIMWI
 WAKIFUATILIA MADA ZINAZOTOLEWA
MAFUNZO HAYA YAMEHUSISHA WALIMU WA AFYA NA MALEZI SHULENI KATIKA KATA ZA BARA, ITAKA, NAMBINZO, NA HALUNGU