Adverts

Jan 26, 2014

GAZETI LA MFANYAKAZI LILILOZINDULIWA KWA MBWEMBWE ZOTE LIMEISHIA WAPI?

Awali nilikuwa nalipata kwenye mazingira yangu ya kazi, lakini sasa hivi halionekani mtaani kunani Mfanyakazi news paper? tena lilizinduliwa na mh Rais MEI MOSI  ya mwaka 2013  miezi michache limepotea huku kwetu vijijini