Si unajua mazingira nayo yanadetarmine mitego!! wanafunzi wa vijijini hutegwa kwa maandazi na zawadi ndogo ndogo wakati wale wa mijini hudanganyika kwa zawadi kama simu za mkononi, chips kuku nk, hapa katika kijiji cha Lwatwe kata ya Ivuna wilayani Mbozi anaonekana muuza maandazi akiyaandaa kwaajili ya kuwauzia wanafunzi ambao wamekaa kando kusubiria anayetoa ofa! haya ni mazingira ya kawaida kwetu vijijini sijui kwa upande wenu huko kwenye utandawazi kama siyo utando wazi!.