Sep 28, 2010

HAWA WADAU NAWAVULIA KOFIA KWA USHAURI


Hawa wadau wa ukweli tunaoishi nao katika mazingira yyetu ya vijijini, ninawafurahia kwasababu hawa ndiyo wanaotoa maoni ya namna ya kukomalia hii blog na ndiyo sababu umekuwa ukipata vitu kila siku! Poa wadau tukaze buti tuone kama vijijini tutasikika kwenye mikakati yao.