Sep 28, 2010

MBONA WENYE TV ZAO WANAJIPENDELEA NAMIMI BASI!!!!

Mmiliki wa Blog hii akiwa na Bi Mkubwa wake kushoto wakati kwa upande wa kulia yupo mdau mmoja kutoka sekta rasmi  akiwa na mkewe  ilikuwa tunawasindikiza hawa jamaa kwenye kufunga pingu za wakati (maisha) pale kwa mkuu wa wilaya ya Mbozi .