Sep 28, 2010


Pia nyakati fulani huwa tunafurahia maisha ya kijijini. Hapa ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Mbozi aliyemaliza muda wake Aden Mwkyonde akipokea shampeni kutoka kwa mdau wa blog  bwana MWASA WAZIRI katika moja ya hafla zetu vijijini.