Eee, namaanisha zile tabia za Fataki hata vijijini tunazijua, bango la mwanaharakati wa kijijini lililochorwa kwa mkaa na chaki za rangi linafikisha ujumbe! manake wanaharakati wa mjini mpaka wavae T-shirt na Kofia halafu yawepo maandamano na blasbendi ya polisi ama magereza itangulie mbele kuwafagilia njia huku mikamera ya wanahabari miiingi, lakini huku kwetu vijijini hata kwenye klabu za pombe usiku tunafikisha ujumbe kihivi!!!!!