Vyakula vyote mnavyokula mijini ni sehemu ya jitihada za wakulima kutoka shamba ambao sidhani kama huwa unawafikiria pale unapofinya tonge-nyama,tonge-nyama!! ungekuwa unawafikiria nadhani ruzuku za kujenga madaraja bora zaidi mngeziongeza huku vijijini kuliko hayo mambo yenu ya mjini eti wik-end niende wapi? uende kufanya nini , njoo kijijini.