Adverts

Sep 28, 2010

HUKU VIJIJINI HIZI NDIZO BARABARA ZETU ZA HEWANI

Huku ndiyo kwetu, yaani wapiga kura wenu ndiko waliko na haya ndiyo madaraja yetu kwa staili ya mning'nizo, aaah tunavuka tu chamsingi ni matumaini bado tunayo na tunashukuru TASAF kwa kutuwezesha hata kupita hewani, hatuna shida sisi sijui huko mijini!!

Vyakula vyote mnavyokula mijini ni sehemu ya jitihada za wakulima kutoka shamba ambao sidhani kama huwa unawafikiria pale unapofinya tonge-nyama,tonge-nyama!! ungekuwa unawafikiria nadhani ruzuku za kujenga madaraja bora zaidi mngeziongeza huku vijijini kuliko hayo mambo yenu ya mjini eti wik-end niende wapi? uende kufanya nini , njoo kijijini.