Hatimaye matokeo ya uchaguzi wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Mbeya umekamilika baada ya kumchagua Bw.Christopher Nyenyembe kuwa Mwenyekiti mpya wa klabu hiyo.
Awali nafasi hiyo ilikuwa ikichukuliwa na Bw. Nico Mwaibale aliyejiuzulu uongozi baada ya kuhamishiwa kikazi katika mkoa wa Tabora..
Katika uchaguzi huo Nyenyembe amepata kura 15 na Luhanga kupata kura 13, huku mgombea mwingine Mpanji akipata kura 1.
Katika hali ambayo ni ngumu, hatimaye uongozi wa Mwenyekiti mpya amerejesha mamlaka kutoka kwa wananchama waamue kutokana na kukosa imani na katibu mkuu kufanya naye kazi.
katika hali hiyo ukumbi ulipoza, baada ya mwenyekiti mpya kutamka hilo kutokana na kutofautiana katika maelezo kati yake katibu na mwenyekiti wa kamati ya Nidhamu hatua ambayo alilazimika kutamka katika maneno yake ya kushukuru na hivyo kurejesha kwa wanachama kumkubali katibu ama kumkataa.
Apr 30, 2011
BREACKING NEWS:....NYENYEMBE AREJEA UONGOZI MBEYA PRESS, WAACHANA KWA KURA CHACHE
MBEYA PRESS CLUB HALI YAWA TETE LEO HII
UKUMBI WA HOTEL YA MBEYA PEACK AMBAO MKUTANO WA WANDISHI WA MBEYA PRESS UNAFANYIKA
Wajumbe wakiwa makini kusikiliza maelezo ya katibu Bw. Patrick Kossima
Katibu Kosima akitoa maelezo kwenye mkutano huo, katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi George Chanda na Bi Sada Matiku wakifuatilia maelezo.
Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti Christopher Nyenyembe akisikiliza maelezo ya msimamizi wa uchaguzi
Wajumbe wakiwa makini kusikiliza maelezo ya katibu Bw. Patrick Kossima
Katibu Kosima akitoa maelezo kwenye mkutano huo, katikati ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi George Chanda na Bi Sada Matiku wakifuatilia maelezo.
Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti Christopher Nyenyembe akisikiliza maelezo ya msimamizi wa uchaguzi
HAYA NIKUACHE MCHANA HUU NA VITUMBUA VYA SOKO MATOLA!!!
Kwa mtu aliyekaa mbeya na hususani Mbeya Mjini hutasahau vitumbua kutoka kwa Bibi wa SOKOMATOLA, kila mtu anavifahamu vyema namna ladha yake ilivyokuwa, basi huu ni mwendelezo wa bibi wa Vitumbua SOKOMATOLA
WATAIFITI WA UWEZO-TEN MET WAMALIZA MAFUNZO YA KIKANDA
Waratibu wa wilaya na wasaidizi wao wakiwa katika mkao wa pamoja kubadilishana mawazo baada ya kurejea kutoka kwenye tafiti zao za majaribio jana, tayari wamemaliza program hizo na kusambaa wilayani kwa ajili ya kufanya utafiti wa uwezo wa watoto wa umri wa kati ya miaka 7-16 katika kujifunza kusoma, kuhesabu na kutambua.
HUKU SASA KUNAITWA NONDE
ENZI HIZO watu walikuwa wakitania kuwa ukiishi Nonde, Rejiko nk lazima uwe bachelar! manake yanayoendelea huko wewe utakuwa mtu wa msaada tutani kila siku bila kujitambua! pia lilikuwa eneo maarufu la kufuga wazee wa kazi nyakati za usiku, lakini sasa kumepoa ile mbaya!
MMEA UNAOTUMIKA KUONDOA SUMU ZA MAJI KATIKA NCHI ZA WENZETU -NEMC MPO
Katika safiri safiri zangu ugenini, wakati fulani nilitembelea mji wa mmoja kusini mwa Afrika ambako kuna viwanda vingi, katika eneo la viwanda yanakotiririshwa maji taka nikaona yamepandwa majani haya kwa umbali wa zaidi ya Kilometa tano kuelekea kwenye mabwawa ya maji taka, lakini maji hayo kabla hayajafika kwenye mabwawa yanapitia kwenye mimea hii, nikaelezwa ni mimie hii hunyonya sumu mbalimbali kama chaakula chake kutoka kwenye maji, nikakumbuka Tanzania kando kando mwa mito mingi hasa mkoa wa Iringa kwa uzoefu mimea hii imekuwa ikiota kando kando mwa mito na unakuta mashina yake yanakuwa meusi sana, ni kwasababu ya kunawiri kwa kula sumu inayotokana na miamba ndani ya maji na taka zingine za sumu!!!!!! someni sana kama hamchangii tafiti kama hizi mnapoteza mudaaaaa!
TATIZO LA MBEYA NI HIZI TAASISI KUJENGA MAJENGO MAZURI ZIKASHINDWA KUYABORESHA
Jengo la Bima nalo Ovyooo! tangu limejengwa miaka ya tisini halijawahi kupakwa raangi nje hasa upande huu wa magharibi , mashariki na kusini,
MITAAA YA MBEYA KWA MBAALII
Hii hapa juu ni Mabatini Original ambapo unakutana pia na kijana wa Samunge B' aliyekuwa anatoa kikombe sasa hivi hasikiki teeeeeena.
Hii ni mitaa ya forest kuelekea Meta ambapo jengo la BOT ndilo linaloipamba mitaa hiyo kwa mbaaali
Hii ni mitaa ya forest kuelekea Meta ambapo jengo la BOT ndilo linaloipamba mitaa hiyo kwa mbaaali
Hii ni Meta ukiunganisha na sehemu ya Mabatini, hapa kimsingi hakuna utambulisho rasmi zaidi ya kimlima cha meta
SOMA BIBLIA YA KIAFRIKA
Katika pita pita zangu nimekutana na bilblia ya kiafrika mahala mjini mbeya inauzwa 15,000/= nimeipenda ila nguvu sina unaweza kuchangia ili nisome neno la mungu.
ANGALAU SASA KUNA KA-NDEGE KA- KUKODI MBEYA
Kampuni ya Gazzelie imeanzisha safari za ndege za kukodi (chartered airs)kutoka Mbeya kwenda Dar na Iringa hongera zenu kwa kutupa fulsa hii
Apr 29, 2011
ANGALAU MBEYA HOTEL MMETUWAKILISHA KWA BANGO ZURI
Mabango haya yapo kando ya barabara ya kuingia katikati ya jiji la Mbeya katika mlima Sokoine stadium.
LENGO NI KUTANGAZA BIASHARA ILA TU TAA ZIMETUANGUSHA
Taa zilizowekwa katika barabara za jiji la Mbeya sasa zimekuwa mapambo kutokana na giza totoro nyakati za usiku, hali ambayo hata makampuni yaliyoingia dili ya kutangaza bidhaa zake usiku kutofaidi makubaliano yao kutokana na bidhaa zao kutoonekana vyema nyakati za usiku kama inavyoonyesha hapa leo usiku wakati mwandishi wa blog alipopita katika barabara hizo
WAFANYAKAZI MAELEZO WAMUAGA CLEMENT MSHANA
KUTOKA Mjengwa BLOG
|
.KILICHOJIRI LEO HARUSI YA KIFALME....UINGEREZA.
ROYAL WEDDING 2011
From a 'commoner' to a Duchess!
Prince William arriving in Westminster Abbey
Prince William and Prince Harry, the best man.
I think they were the best dressed invited guests. David and Victoria Beckham...those Louboutins! Tsk tsk
So beautiful!
Dad walking her down the aisle
Archbishop of Canterbury led the service
Little difficulty getting the wedding band through...
And finally they are out!
They are officially The Duke and Duchess of Cambridge.
THE KISS!!! Beautiful!
"Just Married" Prince William (Duke of Cambridge) leading the way, driving his wife out of the palace
....DAVID NA VICTOEIA BECKHAM...KAMA KAWA...! ....SIR ELTON JOHN AKIWASILI NA 'MUME WAKE' SHEMEJI DAVID FURNISH...!
....BI HARUSI....KATE MIDDLETON AKIWASILI....! ....BWANA HARUSI....PRINCE WILLIAM AKIWA NA BESTMAN MDOGO WAKE HARRY WAKIINGIA WESTMINSTER ABBEY...! ....MKE NA MUME....! ....BAADA YA NDOA WANASEPA PANDE HIZO....!