Sep 27, 2010

KITI MOTO ANAPOSUBIRIA POMBE IMWAGIKE ANYWE!!

Nguruwe hawa wakiwa kwenye mchakato wa kuchakachua pombe kwenye mapipa, uisadi katika jamii unaaanzia kwenye mazingira wezeshi, hapa sio kwamba nguruwe hawafahamu ugumu wa kulifikia pipa hili kwa juu lakini wanatambua mbinu mojawapo ni  kutikisa pipa lililojaa ili pombe imwagike na hatimaye wanywe! hii kwa kiswahili cha sasa wanaita "kuchakachua"
Haya na ninyi endeleeni kuchakachua raslimali za umma, mtakoma serikali sasa ipo makini kufuatilia haya.