Sep 27, 2010

WANAUME NDIYO ZEEETU!!! POMBE KWA SANA

 Wanaume hasa wa Vijijini ndiyo zetu" ziwe za kuchuja ama za kukamua tunakunywa tu!!!Haya ni maisha ya kawaida labda mpaka masiya aje manake matumaini tutayapata wapi kama bei za mazao yetu bado ni zile zile tangu wakati wa bei za pembejeo zikiwa na ruzuku ndani yake? halafu kwa mapozi ya picha vijijini tunayajulia bwana utadhani hatudaiwi!!!. nasi tunatangaza nia ya kuingia mjengoni mnasemaje?