Oct 1, 2010

JE KUNA MIKAKATI INAYOTULENGA WAZEE?

Kama hamna mpango na sisi si mtuambie? tunahitaji matibabu bure, usafiri bure, kulala bure na nani hii bure mbona mnakuwa hamtuelewi??