Oct 1, 2010

USIDANGANYIKE SIO ULAYA HAPA NI SISI WAHAPA HAPA

Ni kona moja ya kuelekea Tukuyu kabla hujapita lile eneo ambalo watu waliteketea kwa moto wakati wakijichotea mafuta ya bure!! jamani pazuri eeee?