Oct 3, 2010

SIKU TULIPOMUAGA ENG: LAMSY NA KUMKARIBISHA ENG: MAKUNGU

Aliyekuwa mhandisi wa Ujenzi wilaya ya Mbozi Mhandisi Afwilile Lamsy akiwa katika pozi wakati wa hafla ya kumuaga  wilayani Mbozi baada ya kuhamishiwa jiji la Arusha kwa nafasi hiyo hiyo!

 Mhandisi Makungu aliyehamia wilayani Mbozi kutoka Arusha
 Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Mbozi Bw. Ngaikwela akiwa na mkaribishwa na muagwa!
 Tupo pamoja nakuachia Mbozi nawe nipe ufunguo wa Arusha! anaonekana Lamsy kulia na Makungu Kushoto
 Huwa hatuagani bila kuselebuka!! haya tomoka tomoka!!!!!
Kama kawaida kuna wanaokuwa excited zaidi ya wenzao!!