Jana wadau nilikwenda shamba, mazingira ya huko nikabaini fulsa ya kuotesha migomba, nikaingia kwa majirani kuomba migomba michanga ili nioteshe, bwana wee nikaambiwa kila mgomba ni shilingi 2000/= nikajikuta nalipa 60,000 kwa migomba thelathini nikagundua biashara ngumu!!!