Oct 3, 2010

UNAPOAMUA KUMPIGISHA STORY MWENZIO AKIWA NA MZIGO BEGANI

eeeh teh teh hivyo hivyo, nanihiii , kila kitu!!!! ndivyo mnavyochoshana halafu mtu akifika nyumbani anashindwa kutekeleza majukumu ya nani hiii.... kumbe shughuli zingine ni matokeo ya vitendo kama hivieeee!