Jan 12, 2011

CHRISTIAN alipotembelewa na dada zake

Christian Tweve akiwa amepozi na dada zake Faraja na Natasha kushoto baada ya kumtembelea kijijini Mbozi- Ilikuwa furaha ya aina yake kwa Christian ambapo siku hiyo alionekana mchangamfu kuliko kawaida. Kumbe watoto wanahitaji interaction na wenzao wa umri unaokaribiana kuliko kila siku wazazi tu!