Hapa Masekretali ama makatibu mahsusi wa vingunge wa mkoa wa mbeya wakiwa wamekusanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi katika utaratibu wao wa kukutana kila baada ya miezi sita kwaajili ya kujiweka sawa katika masuala ya utunzaji siri
wenye sare hapo juu neyupe ni makatibu mahsusi kutoka mbozi na wengine hapo chini ni kutoka wilaya zingine za mkoa wa mbeya