Mar 2, 2011

CCBRT YAZIDI KUFANYA UKOMBOZI WA ELIMU KWA WALEMAVU

 Bwana Kaspar Mmuya akitoa maelezo kwa wandishi wa habari juu ya mradi huo ambao vifaa vilivyotolewa katika wilaya 15 vina thamani ya shilingi Milion 106 na utatekelezwa katika mikoa saba  ya Mbeya, Njoluma, Tanga, Kilimanjaro, Morogoro,Dodoma na Dar es Saaam

Mwakilishi kutoka shule maalumu ya Lutheran Njombe akifanya majaribio ya vifaa vya usikivu ikiwemo mashine ya kupima uwezo wa usikivu kwa watoto wenye matatizo ya usikivu-Viziwi.
 Huu ndiyo msaada wenyewe kwa watoto wenye matatizo ya akili
 Mchanyiko wa vitabu kwaajili ya elimu ya masuala ya UKIMWI


Package ya vifaa vya kujifunzia watoto wenye ulemavu wa akili/mtindio wa akili.