Mar 19, 2011

JK Atembelea Wizara Ya Nishati Na Madini


Waziri wa nishati na Madini William Ngeleja akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya Rais Jakaya Kikwete

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA), Haruna Masebu (kulia), akielezea mbele ya Rais Jakaya Kikwete (kushoto), njia mbalimbali za kuwadhibiti wachakachuaji wa mafuta ya petroli
Rais Jakaya Kikwete akihutubia.

"