![]() |
| Mwenyekiti wa AGRA Kofi Anan akitembelea shamba la mfano katika kijiji cha Lusungo Mbeya vijijini |
![]() |
| Akiangalia duka la pambejeo katika kijiji cha Lusungo |
![]() |
| Akizungumza na wananchi katika kijiji cha Iyula wilayani Mbozi |
![]() |
| Wakiwa katika picha ya pamoja kijiji cha Iyula wilayani Mbozi |
![]() |
| Wafanyakazi wa CFNA/TAGMARK wakiwa katika pozi la picha Iyula |
![]() |
| Wadau mbalimbali wakipeana mkono na Kofi Anan |
![]() |
| Mmoja wa wajumbe wa bodi ya AGRA akiuliza swali kwa muuza pembejeo Iyula |







