May 24, 2011

BLOG YAENDELEA KUPOKEA MAONI NA UDADAVUZI JUU YA KIFO CHA DAKTARI

ASIYEJULIKANA1 AMEANDIKA HIVI!!!!!!!!
Tatizo ni complex na kesi ipo polisi kwa hiyo sio vizuri kuendelea kuidadavua hapa mtanadaoni. Kwa kifupi Dr. Jumbe alikuwa miongoni mwa Madakatari wazuri wanaojari wagonjwa ukilinganisha na daktari yeyeyote aliyepo BLH sasa hivi ukiondoa Dr. Mzee Kyando. Hakuwa na matatizo, amewasaidia hata wagonjwa wa PIUMA ambao kiutaratibu BLH inawaregard kama sio wagonjwa wao wasiostahili kupata tiba pale. Nionavyo mimi ni chuo kuendeshwa kama Taasisi ya mtu binafsi, na kuendeshwa kwa sheria kanuni na taratibu za shule ya sekondari. Uongozi wa chuo umekuwa ukiwaitisha Roll Call wanachuo, wanafanya bed Checking, watu hawaruhusiwi kuwa na mahusiano, hawaruhusiwi kuvuka Zambia kupata japo Ulanzi kopo moja. Na idadi kubwa ya watu wanaosoma pale ni married na watu wazima. Sasa Inasemakana in last two weeks Dr. Jumbe alikuwa amewaona wanafunzi walikuwa wamemissbehave, sasa akawareport kwa uongozi wa chuo .Management ya chuo ikawapa sunspension. Baada ya hapo wanafunzi wakawa na hasira na Daktari. Daktari alikuwa na urafiki (sijui kama ni wa kimapenzi au kawaida) na mmoja wa wanafunzi wa kike, sasa jioni ya tukio alikuwa amemkaribisha huyo Rafiki yake nyumbani kwake. Inasemekana walikuwa mezani wanakula ndipo kundi la wanafunzi wa kiume walipofika na kuanza kumfanyia fujo Daktari, wakamuingilia ndani mwake wakampiga, kumjeruhi na kisha baada ya hapo dakatari akakimbizwa hospitali, akapelekwa Theater (kumbuka mida hiyo hakukuwa na daktari mwingine waliokuwepo ni clinical officers) wakashindwa kustop breeding. nadhani Dr. aliapata serious internal breeding and brain damage. mida ya saa nane na tisa hivi akafariki Dunia. Jeshi la polisi limewakamata wanafunzi wanne tu akiwemo huyo dada, mimi nadhani haitosshi jeshi la polisi linapaswa kuwahoji viongozi wa hospitali, wanafunzi hawawezi kumpiga mwalimu wao mpaka kufa lazima kuna kitu nyuma yake. Inakuwaje nyumba ya jume ipo km mita 25 tu kutoka geti la hospitali walinzi walishindwa kufika kumuokoa na walinzi wapo getini tena sio mmoja bali walinzi 2 mpaka mtu anachakazwa kiasi hicho. Kuna tabia ya kuwabagua na kuwafanyazi hila madaktari wageni BLH. Walianza na Daktari Bingwa Dr. Mpumilwa, wakaja na Docta Rainer, wamekuja na Dr. Uhagile (hao wote walifukuzwa kama mbwa)  Na bahati mbaya sana sio tu kuwa hawana shule bali hata uwezo wa kuzaliwa wa kuongoza hawana, ni watu wa majungu tu, na hao ndio wanaoinstigate mamabo mengi. Inawezekanaje Mganga mkuu (ambaye ndiye mwajiri ) akawa mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi?? Yaani ukiiweka BLH kwenye darubini Utazimia kabla hujamaliza Analysisi yako. Kuifanya BLH isimame tena Halmashauri ya dayosisi haina namna ni kuisurrnder kwa serikali. Uwezo wao wa kutibu na kuhudumia jamii umekuwa mdogo sana. watu wanasafiri kwa miguu kutoka maeneo ya bulongwa na Magoma kwenda Makete . Bulongwa inalaza watu 10 tu lakini ina wafanyakazi zaidi ya 80?? kuna uwiano hapo?? watu wanajirundikia mishahara mikubwa wakati wafanyakazi wa kada ya chini bado wanalipwa 46,000- Baba Askofu Mwakabna anatakiwa kuchukua hatua za makusudi kuinusuru ile hospitali, kama ambavyo dayosisi inarudi kuwa jimbo ndivyo na hospitali inavyorudi kuwa Zahanati
 ASIYEJULIKANA 2 AMEANDIKA HIVI!
Am so down, habari hii inataka kunitoa machozi,hao watoto wa maskini acha wafungwe tu tena ikibidi wanyongwe kabisa liwe fundisho kwa wengine ili siku nyingine watu waache kukubali kutumwa kufanya uovu kwa interest za wachache. 
MWINGINE KAANDIKA HIVI
thanks 4 info japo umekuwa ki-proffesional zaidi which is good. I mean hujaongelea -ve side ya marehemu. -------unadhani polisi watafanyaje hapo, am worried wataishia kufukuzwa chuo na kufungwa watoto wa maskini ilihali walio chanzo