| Askari wa Jeshi la Wananchi wakiwa kazini wakati wa ujenzi wa daraja kunusuru Watanzania waliokuwa wamekwama  kutokana na mawasiliano ya barabara kukatika kutoka vijijini mwao kutokana na mafuriko ya 2008 daraja hilo lilisimamiwa na mkuu wa kikosi cha Ujenzi jeshini wakati huo KITENGA |