Jun 30, 2011
KAMBALE BWANA KWA UBWABWA HASA VIJIJINI!!
CHINGA WA SONGEA KWAO KAMA JADI KILA SIKU KILOMETA 200
Jun 28, 2011
MWANAMKE KIJEBA APATIKANA BRAZIL ANA MIAKA 120!!
Bi Mkubwa Kijeba!!! |
Wafanyakazi wa Taasisi ya huduma za hifadhi ya jamii nchini Brazil INSS walimbaini kikongwe huyo wakati wakifanya mapitio ya kawaida ya kumbukumbu za kuzaliwa kwa watu wao wanaowahudumia.
Kwa mujibu wa habari iliyochapishwa Ijumaa kwenye usiku kwenye mtandao wa nchini humo wa
Folha de Sao Paulo ilionyesha kuwa bi Mkubwa huyo alizaliwa September 3, 1890.
Bi Pereira is mzawa wa nchi hiyo na anaripotiwa maisha yake yote kuyatumia ama kukulia akiwa vijijini katika kaskazini kusini mwa Brazil katika jimbo la Amazon karibu na mji wa Feijo unaokadiriwa kuwa na watu 32,261
jamani muda mdogo naomba muendelee kutafsiri.....
When social workers found her birth records they
radioed the isolated indigenous community where she lives (there is
no mobile service) and arranged to have her brought to the nearest town
to confirm her identity.
She is apparently from the kaxinawa indigenous ethnic group, and reportedly she speaks only a few words in Portuguese.
The social workers are still trying to verify if
there were any mistakes made on her birth certificate, but no
irregularities have cropped up as of yet.
If it is verified that Ms Pereira really is 120, she would instantly become the world’s oldest living person - by far.
Oddly enough, earlier this week Brazilian woman Maria Gomes Valentim passed away. She was 114, and at the time of her death regarded by the Guinness Book of World Records as the oldest living person.
As for Ms Pereira, it’s said she has 10 kids and 22 grandchildren.
HIVI PENYEWE MNAPOSEMAQ DONDOSHA MKONO WA SWETA NDIYO NINI? NYEEE!!!
Bagia za Iringa unazikumbuka? sasa kampeni ni kudondosha Mkonosweta yaani kuondoa kofia ya asili kwa wanaume!! aka kutahiri ili kupunguza risk ya maambukizi. Kampeni hii imeshika kasi mkoani humo |
TUKIKOSA SAMAKI HUWA TUNAVUA NGADO!!! HII KOROGORO KWENYE MIFEREJI
JAMANI HOOD HAWA NDEGE ULIOFUGA NI MAPAMBO AMA MAMBO MENGINE?
LORI LA SERIKALI MOROGORO HOI LAKINI LIMO BARABARANI
ALJAZEERA RESTAURANT KULA DAKIKA 10!!!!
Bidhaa zilizopo zinazingatia mahitaji ya makundi mbalimbali wapo wanaotaka vitu vigumu vigumu na wale wa vitu laini!!!! |
Hapa mahudhulio zaidi ni akina dada !!!Chipsi kuku!!! |
Unakokwenda lazima uende na zawadi, pitia hapa nunua halafu unapokelewa kwa heshima siyo mikono mitupu!!! |
Twanga tuuuuu!!! ongea mpaka basi, Aljazeera imeunganishwa kwa mawasiliano bila kujali mazingira yake kuwa porini! |
WADAU WAELEZEA MBINU YA KUTANGULIZA MAFUNZO KABLA YA FEDHA ITASAIDIA
Mdau mwingine kutoka YES Tanzania wilayani Ileje akizungumzia ufadhiri huo ambao utasaidia kuwafikia vijana walio vijijini |
Jun 27, 2011
Muammar Gaddaf Suggest to arrest
The International Criminal Court has issued an arrest warrant for Libyan leader Col Muammar Gaddafi, accusing him of crimes against humanity.
The court had grounds to believe he had ordered attacks on civilians during Libya's four-month uprising, it said.
The Hague-based court also issued warrants for two of Col Gaddafi's top aides - his son Saif al-Islam and intelligence chief Abdullah al-Sanussi.
Thousands of people are believed to have been killed in the conflict.
Anti-Gaddafi forces said on Monday they had launched a new push towards Tripoli, with heavy fighting near the strategic town of Bir al-Ghanam, to the south-west of capital.
The rebel defence minister told the BBC that forces opposed to Col Gaddafi may also make a move on the capital from the east.-By Rashid Mkwinda with International Correspondents.
DODOMA ASUBUHI HII> FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY YAANZA KUJENGA UWEZO WA USIMAMIZI RUZUKU KWA MASHIRIKA 39 NCHINI
Mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo hayo Bi Neema Yobu akizungumza kwenye mafunzo hayo katika ukumbi wa Mazengo |
Afghanistan: Eight-year-old girl 'used in attack'
An eight-year-old girl has been
killed after insurgents used her in a bomb attack on police in southern
Afghanistan, the government has said.
The interior ministry said
insurgents gave the girl a package and told her to take it to a police vehicle,
detonating it as she approached.
No-one else was killed in the
explosion, in Uruzgan province.
The incident came a day after an
attack on a hospital which killed at least 38 people in the east of the
country.
Dozens were injured. Elderly people,
pregnant women and children were said to be among the casualties.
'No respect'
A statement by the ministry
described the Uruzgan incident as a "crime and a shameful act".
The area where the alleged incident
happened is very remote, and it was not possible to independently verify the
reports.
"The child, pure-hearted and in
good faith, took the bag and moved towards the police vehicle," it said.
"As she got close to the police
vehicle, the enemy detonated the bomb by remote control, killing the innocent
child."
The governor of Char Cheno district,
where the attack took place, told the BBC the girl was from the nearest
village.
She was told nothing would happen to
her, he said, adding that the perpetrators had "no boundary, no respect
for anything".
Correspondents say insurgents have
recruited both adult women and recently male children to carry out suicide
attacks, though the Taliban denies recruiting children.
End..
Jun 25, 2011
MAZIWA NI MUHIMU KWA AFYA YA MTOTO
TEOFILO KISANJI UNIVERSITY WAZINDUA MAKTABA YAO LEO
FAMILY HEALTH INTERNATIONAL YAANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI KWENYE MIRADI YA UJENZI WA BARABARA YA TUNDUMA HADI SUMBAWANGA
Moja ya ofisi za Kampuni ya CCC inayojenga barabara Lot 1 kutoka Tunduma hadi Ikana wilayani Mbozi |
Magari ya Kampuni ya Consolidated Construction Company yakiwa yard |
Mfanyakazi wa Kampuni ya CCC akiwasiliana huku akiwa na kitabu cha kurekodi mwenendo wa magari, nyuma yake ni sehemu ya ujenzi wa makazi ya wataalamu wa kampuni hiyo ambao kwa sasa wanaishi hotelini. |
Bw. Ipyana kutoka FHI akitoa maelezo namna ambavyo mradi huo umeweza kutekelezwa kwa kipiundi cha kuanzia mwezi Februaly mpaja sasa na changamoto zilizopitiwa wakati wa utekelezaji |
BARAZA LA MADIWANI MBOZI LATISHIA KUKAMATA WATAKAOJIPENDEKEZA KUNUNUA KAHAWA MBICHI WILAYANI HUMO
Kamati ya uchaguzi ikihesabu kura za nafasi ya Makamu Mwenyekiti ambapo madiwani wawili walikuwa wakiwania nafasi hiyo kutoka vyama vya CHADEMA na CCM |
Mh Bernard Sichilonga Diwani wa Ivuna akisubiria Matokeo ya uchaguzi wa nafasi aliyokuwa akiitetea ya Makamu mwenyekiti ambapo aliibuka na ushindi wa kura 36 |
Katibu TawalaWilaya ya Mbozi Leonard Magacha akisisitiza mpango wa kukamata watu watakaojihusisha na ununuzi wa kahawa mbichi |
Jun 24, 2011
Jun 23, 2011
WILAYA YA MBOZI YATANGAZA VITA NA KAMPUNI YA LIMA INAYONUNUA KAHAWA MBICHI
Na Danny Tweve
Uongozi wa wilaya ya Mbozi pamoja na baraza la Madiwani la halmaashauri ya wilaya hiyo kwa kauli moja wametangaza vita dhidi ya kampuni yoyote itakayobainika kununua kahawa Mbichi maarufu kama kahawa cheri.
Msimamo huo umetangazwa kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichoketi leo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya, ambapo imeelezwa kuwa tayari watendaji wa vijiji, kata pamoja na jeshi la polisi wameshapewa maelekezo kutekeleza agizo hilo.
Akichokoza maelekezo hayo Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Elick Ambakisye amesema, kwa muda mrefu kampuni na wafanyabiashara wametumia uelewa mdogo wa baadhi ya wakulima katika kujinufaisha kwa kununua kahawa cheri ambayo bei zake ni sawa na kuwaibia wakulima wakati bei ya sasa ya kahawa kavu ni mara 100 ya bei wanayouza kahawa cheri.
Alisema hali hiyo imefikia hatua kuwafanya wananchi kurejea kwenye ukoloni wa kipato ambacho wamekuwa waklizalisha kwa jasho kubwa lakini wachache wanajinufaisha, na kwamba kampuni itakayokutwa ikifanya manunuzi hayo mwaka huu ni kuwakamata watendaji wake.
Akichangia kwa upande wa serikali kuu katibu tawala wilaya ya Mbozi Magacha akkizungumza kwa niaba ya mkuu wa wilaya alisema msimamo huo utatoa mfano mwaka huu kwakuwa kampuni ya Lima baada ya kuona imebanwa wilayani ikapita njia zake za vichochoroni na kufanikiwa kupata leseni ya kununua kahawa, wakati ambapo haikubaliki katika eneo ambalo wanataka kununua.
Alisema ili kuonyesha hasira za wananchi, kampuni hiyo ikituma watendaji wake vijijini wakamatwe na kuchukuliwa hatua papo hapo na kwamba maelekezo yameshatolewa kwa mamlaka za dola wilayani humo.
Mwaka jana wilaya ya Mbozi imejiingizia zaidi ya Bilion 100 kutokana na mauzo ya kahawa yake kupitia vikundi vya wakulima katika mnada wa moshi ambapo halmashauri ya wilaya iliweza kukusanya zaidi ya shilinmgi 1.5 Bilion ikiwa ni ushuru wa zao hilo.
Kampeni za kumlinda mkulima zilianza kutekelezwa mwaka jana ambapo watendaji wa kampuni ya Lima walikamatwa wakati fulani wakinunua kahawa cheri vijijini na baadaye kuachiwa, lakini msimamo wa mwaka huu unalenga kuhakikisha kahawa hiyo haiuzwi ikiwa mbichi kutokana na bei yake kupanda mara dufu hadi kufikia 20,000 kwa kilo vijijini kwa kahawa kavu.
Wakati tamko hilo likitolewa kuna taarifa kuwa kuna watu wanazunguka vijjini kununua kahawa cheri kwa bei ya shilingi 50,000/ kwa ndoo ya plastiki ya lita 20 hali ambayo inawarusha roho wakulima na kushindwa kuvumilia kuuza kwenye soko rasmi na badala yake kuuza kwenye soko la kahawa cheri ili washike haraka hiyo pesa ya fasta fasta.
Ikiwa msimamo wa wilaya hiyo utasimamiwa vyema kuna kila dalili za ushindi wa mkulima wa wilaya ya Mbozi kuendelea kufanywa kichwa cha mwendawazimu cha kujifunzia kunyoa.
Wakati hayo yakiendelea tuhuma za aliyetoa leseni hiyo zinaelekezwa kwa waziri mwenye dhamana na kilimo kutokana na bodi ya Kahawa kukataa tangu mwaka jana mchezo wa kuuza kahawa cheri. Inaelezwa kuwa kampuni ya Lima ilienda kumwona mh waziri wa Kilimo ili kuiruhusu kununua kahawa hatua ambayo iliwezesha leseni hiyo kuagizwa kutolewa na mh waziri.
Pamoja na hatua hiyo, kuna tishio kuwa kuna uwezekano wa kusababisha uharibifu wa mali na hata kusababisha maafa vijijini wakati kampuni hiyo itakavyojihusisha na ununuzi huo ikiwa maelekezo yaliyotolewa yatatekelezwa kwakuwa imeelezwa wazi kuwa magari ya kampuni hiyo yakikutwa yakinunua kahawa cheri hatua za ndani ya vijiji na zile za kidola zichukuliwe.
Tangazo hilio pia limeelezwa kusimamiwa na waheshimiwa madiwani.