Jun 19, 2011

CHRISTIAN ALIPOFIKA KIJIJINI NA KUSHANGAA


Hakuna kitu kizuri   kama mzazi unapombadilishia mazingira mtoto, utagundua anavyoanza kwa kubabaika na ghafla akaweza kumudu mazingira na kuwa mjanja kama nilivyomfanyia jana Christian kwa kumpeleka kijijini akajichanganya kwenye vumbi hadi jioni akawa amefurahi sana maisha ya Usangu