Jun 21, 2011

KUANZIA WIKI HII TUTAJIELEKEZA ZAIDI KWENYE SHUGHULI ZA KILIMO IKIWA NI MAANDALIZI YA SIKU YA MKULIMA





Pamoja na matukio mengine Mtandao huu utajielekeza zaidi katika kutoa elimu ya Kilimo kwa wakulima wakati huu ambapo shughuli za kuvuna mazao mashambani zinaendelea huku maeneo mengine wakiandaa mashamba yao, kumbuka sisi tupo vijijini ninyi mko mjini lakini tunategemeana!