Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Jun 5, 2011
WAJASIRIAMALI HADI VIJIJINI NI DALILI NJEMA
Duka hili nimelikuta katika katika kijiji cha Katumba II likiitwa Geneus! na watu wamekuwa wakipata huduma hapa za barafu na vitu vidogo vidogo nimefurahishwa na jina kweli jamaa Geneous