Sep 20, 2011
MBOWE AUNGURUMA IRINGA MJINI AIWEKA NJIA PANDA CCM JAPO GANGILONGA APOKELEWA NA WANANCHI KIDUCHU....
MBOWE  AUNGURUMA IRINGA MJINI AIWEKA NJIA PANDA CCM JAPO GANGILONGA APOKELEWA NA  WANANCHI KIDUCHU....:  Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe (kulia) akionyesha ishara ya kumwombea kura mgombea udiwani kata ya Gangilonga jimbo la Iringa mjini Edwin Sambala wakati akijinadi kwa wananchi leo
 Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Freeman Mbowe (kulia) akionyesha ishara ya kumwombea kura mgombea udiwani kata ya Gangilonga jimbo la Iringa mjini Edwin Sambala wakati akijinadi kwa wananchi leo
 Mbowe akiwaaga wananchi wa kata ya Gangilonga baada ya kumaliza kumwombea kura mgombea wa kata ya Gangilonga na Kitanzini jimbo la Iringa mjini.

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao akiwaombea kura wagombea udiwani wa Chadema kata ya Gangilonga na Kitanzini leo

 Mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga Edwin Sambala akimsikiliza mwenyekiti wake taifa Mhe.Mbowe

 Mgombea udiwani kata ya Kitanzini Gervas Kalolo

 Wananchi wa kata ya Gangilonga na Kitanzani waliofika katika mkutano wa Chadema kata ya Gangilonga wakigombea kumsalimia Mbowe leo
 Gari la Mbowe likisindikizwa na mashabi eneo la Kitanzini leo