KULIPIA FIRE SASA TRA
Kuna taarifa ambayo ilitolewa na imetangazwa kwenye vyombo vya habari 
kuhusu ulipaji wa kodi ya FIRE na ROAD LICENCE,tangazo hilo 
linawataarifu wamiliki wote wa vyombo vya moto wanapokwenda kulipia kodi
 yao ya mwaka ya Road Licence watakakiwa pia kulipia na kodi ya FIRE 
ambayo mwanzoni haikua inalipiwa hapo TRA 
  KUANZIA JULY 2012 HUDUMA ZA FIRE ZITAKUWA ZINALIPIWA TRA WAKATI WA KU-RENEW NA BEI NI;
CC 1 - CC 500 10,000/= 
CC 501 - CC 1500 20,000/= 
CC 1501 - CC 2500 30,000/= 
 CC 2501 na kuendelea 40,000/=