![]()  | 
| wakati wa kuzindua klabu ya wapinga rushwa katika shule za sekondari | 
![]()  | 
| Kiongozi wa mbio za mwenge akiangalia picha zilizochorwa na wanafunzi kuonyesha kuchukia rushwa ya ngono | 
![]()  | 
| Mkimbiza mwenge akikagua mradi wa umwagiliaji Iyula | 
![]()  | 
| Uongozi wa halmashauri ya wilaya ukishuhudia makabidhiano ya mizinga kwa kikundi cha vijana | 
![]()  | 
| Uzinduzi wa chuo cha wauguzi Mbozi mission | 
![]()  | 
| wadau kutoka momba wakiwa tayari kwaajili ya mbio za mwenge wilayani mwao | 
![]()  | 
| miongonimwa miradi iliyozinduliwa ni ukumbi wa shule ya sekondaari ya Vwawa | 
![]()  | 
| kaaazi hapa ni kuoga baaadaye, kikundi cha ngoma ya ndili kikiwa kamili gado  | 
![]()  | 
| Rigwaride linaelekea kunishinda!!! hop hop | 
![]()  | 
| Soooosi Up sossi uppp up up ndivyo wanavyotumia singe kuchoma mbele, kushoma juu kushoto kulia nyuma | 
![]()  | 
| Mgambo wakionyesha heshima yao mbele ya harakati za mwenge baada ya kuhitimu kozi yao | 
![]()  | 
| Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa akikabidhi moja ya miradi kwa wanufaika -Mradi wa mizinga kwa vijana kupitia halmashauri ya wilaya ya Mbozi | 












