Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Oct 23, 2013
MAISHA NDIVYO YALIVYO, HATUJUI YA KESHO
›
Kula ni sehemu ya utaratibu wa mzunguko wa maisha ya Binadamu, tendo kama hili kila siku hufanyika lakini mara ngapi tumbo limeshukuru kwa...
KAMATI YA BUNGE YAOMBA IKAJIFUNZE KUTENGENEZA MVUA MALAYSIA
›
Na Danny Tweve Mbozi Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji na Mbunge wa jimbo la Mwanakwerekwe Mh Haji Jumaa Sereweji ame...
Oct 21, 2013
UWANJA WA NDEGE WA SONGWE WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE UJENZI WA MAGHALA
›
Mwendeshaji wa mtandao wa Indaba africa akiwa nje ya uwanja wa ndege wa songwe mwishoni mwa wiki iliyopita Afisa uendeshaji na Maso...
SUMBAWANGA ASUBUHI YA LEO
›
Mtaa maarufu kuelekea bar ya Kilimanjaro ambako hapo kila jambo la mjini linapatikana Moto wa Sumbawanga ni Ng'ara bila shaka w...
WADAU WA ZAO LA MPUNGA WALALAMIKIA UINGIZAJI MCHELE KUTOKA NJE
›
Akina mama wanaouza mchele kwenye eneo la Soko la Sumbawanga wakiwaeleza maofisa kutoka Shirika la Maendeleo la Uholanzi SNV changamoto ya...
MJOMBA SIKU ALIPOPOKEWA MBEYA KWA MASHAMSHAM
›
Mjomba Mrisho Mpoto akipewa mikono ya karibu na wandishi wa habari mkoani Mbeya, siku alipotua uwanja wa ndege wa Songwe kwaajili ya shugh...
MDAU KYANDO APATA JIKO
›
Bwana Aitwa Kyando akiwa na mkewe wakipata baraka za mwisho baada ya ibada ya Ndoa iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Bwawani mkoani Pwan...
Oct 14, 2013
KLABU YA WAPINGA RUSHWA NANSWILU MBOZI YAZINDULIWA
›
Kikundi cha wanafunzi wanachama wa klabu ya wapinga rushwa katika shule ya sekondari ya Nanswilu kilichozinduliwa wakati wa mbio za mwenge...
Oct 13, 2013
MAUZA UZA YA DUNIA-KIJANA AMWOA MAMA YAKE MZAZI! RUVUMA
›
Katika hali inayoonyesha dunia ipo Ukingoni kijana ajulikanaye kwa jina la Joseph Mapunda mkazi wa Mbinga mkoani Ruvuma amemweka kimada m...
SHAMBA LA KAHAWA LINAUZWA
›
SHAMBA LA KAHAWA LENYE UKUBWA WA EKARI 20 PAMOJA NA NYUMBA VINAUZWA KWA PAMOJA WILAYANI MBOZI, SHAMBA LIPO UMBALI WA MITA 850 KUTOKA BARAB...
‹
›
Home
View web version