Jun 30, 2011
Jun 28, 2011
MWANAMKE KIJEBA APATIKANA BRAZIL ANA MIAKA 120!!
![]() |
| Bi Mkubwa Kijeba!!! |
Wafanyakazi wa Taasisi ya huduma za hifadhi ya jamii nchini Brazil INSS walimbaini kikongwe huyo wakati wakifanya mapitio ya kawaida ya kumbukumbu za kuzaliwa kwa watu wao wanaowahudumia.
Kwa mujibu wa habari iliyochapishwa Ijumaa kwenye usiku kwenye mtandao wa nchini humo wa
Folha de Sao Paulo ilionyesha kuwa bi Mkubwa huyo alizaliwa September 3, 1890.
Bi Pereira is mzawa wa nchi hiyo na anaripotiwa maisha yake yote kuyatumia ama kukulia akiwa vijijini katika kaskazini kusini mwa Brazil katika jimbo la Amazon karibu na mji wa Feijo unaokadiriwa kuwa na watu 32,261
jamani muda mdogo naomba muendelee kutafsiri.....
When social workers found her birth records they
radioed the isolated indigenous community where she lives (there is
no mobile service) and arranged to have her brought to the nearest town
to confirm her identity.
She is apparently from the kaxinawa indigenous ethnic group, and reportedly she speaks only a few words in Portuguese.
The social workers are still trying to verify if
there were any mistakes made on her birth certificate, but no
irregularities have cropped up as of yet.
If it is verified that Ms Pereira really is 120, she would instantly become the world’s oldest living person - by far.
Oddly enough, earlier this week Brazilian woman Maria Gomes Valentim passed away. She was 114, and at the time of her death regarded by the Guinness Book of World Records as the oldest living person.
As for Ms Pereira, it’s said she has 10 kids and 22 grandchildren.
HIVI PENYEWE MNAPOSEMAQ DONDOSHA MKONO WA SWETA NDIYO NINI? NYEEE!!!
| Bagia za Iringa unazikumbuka? sasa kampeni ni kudondosha Mkonosweta yaani kuondoa kofia ya asili kwa wanaume!! aka kutahiri ili kupunguza risk ya maambukizi. Kampeni hii imeshika kasi mkoani humo |
TUKIKOSA SAMAKI HUWA TUNAVUA NGADO!!! HII KOROGORO KWENYE MIFEREJI
JAMANI HOOD HAWA NDEGE ULIOFUGA NI MAPAMBO AMA MAMBO MENGINE?
LORI LA SERIKALI MOROGORO HOI LAKINI LIMO BARABARANI
ALJAZEERA RESTAURANT KULA DAKIKA 10!!!!
| Bidhaa zilizopo zinazingatia mahitaji ya makundi mbalimbali wapo wanaotaka vitu vigumu vigumu na wale wa vitu laini!!!! |
| Hapa mahudhulio zaidi ni akina dada !!!Chipsi kuku!!! |
| Unakokwenda lazima uende na zawadi, pitia hapa nunua halafu unapokelewa kwa heshima siyo mikono mitupu!!! |
| Twanga tuuuuu!!! ongea mpaka basi, Aljazeera imeunganishwa kwa mawasiliano bila kujali mazingira yake kuwa porini! |
WADAU WAELEZEA MBINU YA KUTANGULIZA MAFUNZO KABLA YA FEDHA ITASAIDIA
| Mdau mwingine kutoka YES Tanzania wilayani Ileje akizungumzia ufadhiri huo ambao utasaidia kuwafikia vijana walio vijijini |
Jun 27, 2011
Muammar Gaddaf Suggest to arrest
The International Criminal Court has issued an arrest warrant for Libyan leader Col Muammar Gaddafi, accusing him of crimes against humanity.
The court had grounds to believe he had ordered attacks on civilians during Libya's four-month uprising, it said.
The Hague-based court also issued warrants for two of Col Gaddafi's top aides - his son Saif al-Islam and intelligence chief Abdullah al-Sanussi.
Thousands of people are believed to have been killed in the conflict.
Anti-Gaddafi forces said on Monday they had launched a new push towards Tripoli, with heavy fighting near the strategic town of Bir al-Ghanam, to the south-west of capital.
The rebel defence minister told the BBC that forces opposed to Col Gaddafi may also make a move on the capital from the east.-By Rashid Mkwinda with International Correspondents.



