Adverts

Apr 25, 2012

BUNGE LA CHUO CHA MIPANGO LAKETI

Baadhi ya mawaziri wa Bunge la Chuo cha Mipango Dodoma, mwenye suti Nyekundu ni waziri wa Elimu Bi Amina Said Mhina akinukuu hoja za waheshimiwa wabunge wanaowakilisha kozi zao katika chuo hicho

Mmoja wa wanunge wa Kozi ya Diploma akichangia kwenye bunge hilo, huku mkurugenzi wa Mtandao huu ambaye pia ni mbunge wa bunge hilo akifuatilia kwa  Makini

Bunge linaendelea huku waheshimiwa wabunge wakifuatilia Makarabrasha mezani ili kuchangia kwa ufanisi

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge la Chuo cha Mipango akiwa na naibu spika pembeni pamoja na katibu wa Bunge bwana Kinyunyu kulia wakiwa wanafuatilia hoja za waheshimiwa wabunge

Apr 23, 2012

MKAKATI WA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI MASHULENI WILAYANI MBOZI

Bwana Sadnessy Ngetwa akitoa mada mbele ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilasi Medium iliyopo Mjini Vwawa katika wilaya ya Mbozi, Halmashauri ya wilaya hiyo imejielekeza katika kujenga uwezo kwa kundi la vijana walio mashuleni kutokana na kasi ya maambukizi kuelekea kwenye kundi hilo

Dr Mwasubila mratibu wa UKIMWI katika sehemu ya Tiba wilayani humo akizungumza na wanafunzi wa Ilasi kwenye mafunzo hayo

Sehemu ya wanufaika wa mafunzo hayo wakiendelea kusikiliza

Apr 17, 2012

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA MIPANGO PROF ZILIHONA ATEMBELEA KAMBINI WANAKOFANYA MAZOEZI KWA VITENDO WANAFUNZI WA STASHAHADA YAUZAMILI

Makamu Mkuu wa chuo cha Mipango Dodoma Prof. Zilihona Inocent (mwenye nguo nyeusi na mistari) akiwa kwenye picha ya pamoja na wanchuo wa chuo cha Mipango kozi za statashahada ya uzamili katika mipango ya maendeleo ya Mikoa, Mipango ya Usimamizi wa Miradi, Utawala Bora na Mipango ya Maingira waliopiga kambi katika kijiji cha Wami Dakawa kuandaa mpango wa  uwiano wa maendeleo (INTEGRATED DEVELOPMENT PLAN)

Apr 14, 2012

UBUYU UNAUZWA IN BULK

MZIGO WA GUNIA 2000 ZA UBUYU UNAUZWA KWA BEI YA 40,000/= WASILIANA NA MTANDAO HUU, PIA MAFUTA YA UBUYU YANAPATIKANA LITA KWA TSHS 50,000/=

NIGERIA WAMLILIA KANUMBA, HII NI MOJA YA BLOG ILIYOTOA HABARI ZAKE


                                       Ramsey in 1997                                      Ramsey in 2011

Meanwhile he's losing a few friends in Tanzania. Continue to see what I mean...a little silly and weird...:-)



 
 Ramsey with good friend, Steven Kanumba, who died last week

 
 Ramsey with the lady accused of causing Steven's death, Lulu Michaels, who is in police custody

Ramsey with Tanzanian actress Kajala Masanja. She's currently in police custody awaiting trial for money laundering.