Adverts

Jan 21, 2012

JK akutana na uongozi wa NCCR Mageuzi Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais Jakaya Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI kuhusu mchakato wa Katiba toka kwa Mwenyekiti wa chama hicho Mh James Mbatia leo alipokutana na uongozi wa chama hicho Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na uongozi wa NCCR-MAGEUZI
Mkuu wa Idara ya Katiba na Sheria wa Chama cha NCCR - Mageuzi, Dk. Sengondo Mvungi akisoma mapendekezo ya chama hicho juu ya mchakato wa katiba.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI Mh James Mbatia
Rais Jakaya Kikwete akiagana na Viongozi wa NCCR-MAGEUZI mara baada ya picha ya pamoja.Picha na Ikulu.