Adverts

Mar 14, 2013

BAADA YA KUGAWA WILAYA YA MBOZI NA KUPATA MOMBA HALI IPO HIVI

Baadhi ya samani na komputer zikihamishwa kutoka ofisi mojawapo ya halmashauri ya Mbozi ili kupelekwa Momba, hali hii imesababisha upungufu mkubwa wa vifaa muhimu katika ofisi na hasa vitendea kazi kama komputer, meza za kuandikia na viti hii ni kutokana na mgawanyo huu kufanyika wakati mwaka wa fedha unaelekea katikati hivyo kutohusisha bajeti ya wilaya mpya ya Momba  ambayo inatarajiwa kuanza kupewa fedha mwezi August 2013