Adverts

Mar 14, 2013

TETEMEKO LA ARDHI KWA MARA NYINGINE LATIKISA MBOZI

TETEMEKO LA ARDHI LIMETIKISA TENA WILAYA YA MBOZI USIKU WA KUAMKIA LEO AMBAPO MAJIRA YA SAA 9.58 USIKU LILITIKISA KWA TAKRIBANI SEKUNDE NNE
HAKUNA MADHARA YALIYORIPOTIWA KUTOKEA