
First Lady wa Tanzania mama -Salma Kikwete akipokea maua kama ishara ya kukaribishwa ugenini akiwa katika miji ya wenzetu huko USA anakohudhulia mkutano wa Ma-first Lady unaolenga kujadili masuala ya afya. Tupo pamoja mama tuwakilishe vyema tunakuaminia