Adverts

Sep 27, 2010

HALIMA KIHEMBA TUNAKUKUMBUKA MBOZI

Huyu mama bwana alikuwa Iron Lady kwa jinsi alivyokuwa akisimamia maamuzi pale anapogundua yana maslahi ya wengi, hakuwa na masihara nakumbuka wakati fulani pale Tunduma palitaka kuchafuka alikuwa ngangali kinoma, tunategemea huko bungeni pia utakuwa ngangali hutakubali kuwa kikapu kisicho na kitu kama unavyoonyesha kikapu hicho! Hongera Halima Kihemba sisi wanambozi tunakumiss mkuu.